






Tafsiri iliyohakikiwa ya maana ya Qur'ani Tukufu kwa lugha ya Kiswahili pamoja na kisomo na tafsiri ya sauti
Video ya utambulishoLengo letu ni kuwapatia watu nakala ya Qur'ani Tukufu kwa lugha ya Kiswahili Ili maana ya Kitabu cha Allah iwe rahisi kwa watu wote kulingana na mataifa na tamaduni zao mbali mbali. Unaweza kupakua Programu na kuvinjari Qur'ani Tukufu pamoja na tafsiri (KISWAHILI) kwa njia rahisi na nyepesi zaidi na kwa ubunifu mzuri wa kuvutia, uliobuniwa na wachoraji mahiri wa mapambo ya Qur'ani katika ulimwengu kwa muonekano wa kuvutia.